Philippians 1:27

27 aLakini lolote litakalotukia, mwenende kama ipasavyo Injili ya Al-Masihi, ili kwamba nikija na kuwaona au ikiwa sipo, nipate kusikia haya juu yenu: Kuwa mnasimama imara katika roho moja, mkiishindania imani ya Injili kwa umoja,
Copyright information for SwhKC